Uwezo wa mwanaume wa kuzalisha mtoto unategemea zaidi ya homoni na mbegu; mtindo wa maisha unachangia sana. Wanaume wengi hawaoni hatari ya tabia zao za kila siku zinavyoharibu mfumo wa uzazi, jambo linalosababisha:
Mbegu dhaifu au chache
Low libido
Kutojisikia msisimko
Uime kushindwa kusimama kikamilifu
UTI, ngiri, au matatizo ya tezi dume
DR MBILINYI – Men Health Care Specialist anatoa mwanga kuhusu tabia tano zinazokwamisha uzazi wa mwanaume, ili ujue hatua za kuchukua mapema kabla tatizo likawa kubwa.
1. PUNYETO KUPITA KIASI (OVER MASTURBATION)
JINSI INAVYOATHIRI MFUMO WA UZAZI
Punyeto mara kwa mara husababisha:
Kupungua testosterone
Libido kushuka
Mbegu chache na dhaifu
Kujisikia uchovu mara kwa mara
Pelvic floor muscles kushindwa kufanya kazi vizuri
Wanaume wengi hawaoni kuwa pila ya nguvu za kiume zinazopotea kila mwezi ni kutokana na tabia hii isiyodhibitiwa.
NAMNA YA KUREKEBISHA
Anza “puni cleanse” ya siku 21–30 bila punyeto
Fanya mazoezi ya pelvic floor (Kegel exercises)
Pata shughuli mbadala za akili na nguvu
2. LISHE ISIYOSAHIHISHWA
JINSI INAVYOATHIRI UZAZI
Vyakula vya kukaanga, vyenye sukari nyingi, nyama nyekundu kila siku, na vyakula vya kiwandani husababisha:
Mbegu dhaifu
Testosterone kushuka
Uume kushindwa kusimama kikamilifu
Kupungua hamu ya tendo (low libido)
VYAKULA VINAVYOKINGA NA KUIMARISHA MFUMO WA UZAZI
Karanga na mbegu (pumpkin seeds)
Mayai ya kienyeji
Samaki wa omega-3 (sardine, salmon)
Tangawizi na vitunguu saumu
Mboga za kijani kibichi (spinach, broccoli, kale)
Parachichi na ndizi
DR MBILINYI anasema:
"Lishe bora ni silaha yako ya kwanza dhidi ya matatizo ya uzazi."
3. KUKAA SAA NJI KWA NJI (SEDENTARY LIFESTYLE)
JINSI INAVYOATHIRI MFUMO WA UZAZI
Kukaa muda mrefu huathiri uzalishaji wa mbegu na mzunguko wa damu kwenye uume. Tabia hii husababisha:
Varicocele (misuli ya korodani kuvimba)
Erectile dysfunction
Mbegu dhaifu
Kushuka kwa libido
NAMNA YA KUREKEBISHA
Fanya mazoezi ya kila siku (kutembea, kukimbia, push-ups, squats)
Kila baada ya dakika 45–60, simama na ufanye stretching
Mazoezi ya pelvic floor ili kuimarisha nguvu za uume
4. MSONGO WA MAWAZO (CHRONIC STRESS)
JINSI INAVYOATHIRI MFUMO WA UZAZI
Stress nyingi huathiri moja kwa moja:
Testosterone kushuka
Libido kupungua
Mbegu kuharibika
Erection kushindwa kudumu
NAMNA YA KUREKEBISHA
Meditate 10–15 dakika kila siku
Punguza mizigo ya akili isiyo ya lazima
Fanya shughuli zinazofurahisha, kama michezo au hobby
Lala kwa muda wa kutosha (7–8 saa)
5. KUTOTIBU MAGONJWA YA WANAUME MAPEMA (UTI, NGIRI, TEZI DUME)
JINSI INAVYOATHIRI MFUMO WA UZAZI
Kusubiri mpaka tatizo liwe kubwa huharibu kabisa mfumo wa uzazi:
UTI sugu huathiri korodani na mbegu
Ngiri isiyotibiwa inaharibu mbegu na libido
Enlarged prostate (BPH) huathiri mkojo na erection
Matatizo haya huongeza hatari ya sterility
NAMNA YA KUREKEBISHA
Fanya vipimo mara kwa mara
Tibu mapema matatizo ya tezi dume, ngiri na UTI
Tumia supplements sahihi kwa mujibu wa ushauri wa kitaalamu
DR MBILINYI
“Mfumo wa uzazi wa mwanaume ni kama injini ya gari. Ukipuuza tabia mbaya, injini inaharibika polepole, ikifika hatua ya kushindwa kabisa.”
Tabia hizi tano—punyeto kupita kiasi, lishe duni, kukaa muda mrefu, stress sugu, na kutotibu magonjwa mapema—zinaweza kuharibu mfumo wa uzazi wa mwanaume ndani ya miezi kadhaa tu.
Hata hivyo, kila tabia inaweza kurekebishwa:
Fanya lifestyle cleanse
Zingatia lishe sahihi
Mazoezi ya mwili na pelvic floor
Punguza stress
Tibu matatizo ya afya ya kiume mapema
Posted on: 2025-11-18 23:24:20
Request Medicine